Search This Blog

Sunday, December 30, 2012

YANGA WAPAA KWENDA UTURUKI USIKU HUU - WAPATA CHAKULA CHA USIKU PAMOJA KABLA YA KUONDOKA

Nizar Khalfan akiwa kwenye foleni ya kwenda kuchukua msosi kabla ya safari ya kwenda Uturuki leo usiku

Seif Ahmed 'magari' kulia akiteta jambo na Abdallah Bin Kleb wakati wa chakula cha jioni na wachezaji katika Hotel ya Protea Oysterbay

Kocha Mkuu Brandts, kocha wa makipa Razaki Siwa kulia na makmu mwenyekiti wa Yanga Clement Sanga aliyeipa camera mgongo
HAMISI KIIZA

JERRY TEGETE NA DOMAYO

Ladislaus Mbogo akiwa na Nadir Haroub Canavaro Uwanja wa Ndege JK Nyerere


Meneja wa timu Hafidh Saleh
— in Dar es Salam.
Viongozi wa Yanga wakiwa uwanja wa ndege

5 comments:

  1. Hayo ndio mambo nasio siasa, mkajifue vilivyo vijana

    ReplyDelete
  2. Ongereni viongozi wa Yanga hayo ndo tunataka.Endeleeni kubuni mipango ya maendeleo. Kila la heri Yanga mkajifue vilivyo huko mkirudi ni kuendeleza ushindi. "YANGA DAIMA MBELE,NYUMA MWIKO"

    ReplyDelete
  3. mkajifunze sio kushangaa shangaaa

    ReplyDelete
  4. hongera Yanga, Prove them wrong kwamba ninyi mko tofauti na yule mpiga porojo wa mtaa wa pili,, anayejisifia kutumia ndege ya rais..

    ReplyDelete