Search This Blog

Saturday, December 8, 2012

USIKOSE MICHEZO YA MWISHO YA CECAFA TUSKER CUP LEO!

1 comment:

  1. Leo patachimbika lakini kwa viwango Uganda wanaonekana kuwa juu hasa safu yao ya ushambuliaji ina uchu sana wa kufunga mabao pia ngome yake haijaruhusu goli lolote mpaka sasa hivyo kete yangu naipa Uganda ingawa ktk mpira lolote linaweza kujitokeza lakini imani yangu Uganda atatetea ubingwa mara ya pili mfululizo,kila lakheri wote.

    ReplyDelete