Klabu ya TP Mazembe leo imetoa orodha ya wafungaji bora wa klabu hiyo. Mazembe ambao msimu wa 2012 wamefunga jumla ya mabao 112.
Katika magoli 112, Mtanzania Ally Mbwana Samata aka Samagoal amemaliza akiwa mfungaji bora kwa kufunga mbao 23 katika mashindano yote, mabao 6 akiyafunga katika mashindano ya klabu bingwa ya Afrika ambapo alishika nafasi ya pili katika orodha ya wafungaji bora wa msimu wa mashindano hayo.
Mtanzania mwingine Thomas Ulimwengu nae amefunga mabao 9 katika msimu mzima sawa na Given Singuluma.
Hii ndio orodha kamili iliyotolewa na TP Mazembe
1. Samatta 23 goals, 2. MPUTU 16, 3. LUNGU 13, 4. Singuluma Ulimwengu 9 and 6. KANDA and TRAORE 6 SALAKIAKU 5, 8. Bokanga and Kalaba 4, 10.LUSADISU, and Sinkala TUSILU 3, 13. Ilongo, KASONGO, NKULUKUTA, Kabangu 2, 17. HICHANI, KASUSULA, KANTENG, LOFO Sunzu and sundry.
Katika ligi ya mabingwa wa Afrika listi ya wanaongoza kwa mabao ipo kama ifuatavyo:
1. Emmanuel CLOTTEY (Berekum Chelsea) 12 goals (Penati 3)
2. Aly Samatta 6 (0 pen.) , Treasury MPUTU 6 goals (1 pen) and Mohamed Al Ahly Aboutreika) 6 goals (2 pen)
5. Mr. Geddo (Al Ahly) Y. Ndjeng and Y. AZUKA (Sunshine Stars) 5 goals each,
8. Mr. El Tahir (Al Hilal), Y. Msakni, K. ALI HDJI (ASO Chlef) and RASCA (Recreativo Libolo) 4
Well Done Mbwana and Thomas Ulimwenguuuu. Tuwakilisheni vyemaaaa hukoooo...
ReplyDeleteCha maana wakala wao (Mbwana samatta na Thomas Ulimwengu)ajaribu kuwatafutia nafasi ulaya, hata kwa mkopo wapate changamoto, kama vile ligi za scotland, holland, na ligi zingine za kati. kwa kufanya hivyo ufanisi wao utaongezeka.
ReplyDeleteKaka Shafi Samata mkali bt hope akina Msuva,Mess,Christopher Edward,na kadhalika wanapasa kuiga mfano,Ila Siasa kwa soka ni hatari tuache ukiswahili tuu mbona tutawaona wakicheza champions ligue
ReplyDeleteMbwana ni nouma xana anafaa kuchezea arsenal
ReplyDeleteSamata anawza xna kakaaa...,me naamin hta akienda kuchezea Barclays premier legue atang'aa tu...! Mungu amsaidie apate nafasi.
ReplyDeletewe proud of you Samata, safi sana, keep moving on
ReplyDeletesamata unatisha ndugu mungu akujalie uwe zaidi yapo na uangalie mbele usibweteke na nafasi ulinayo kwa sasa big up and god bless you
ReplyDeletewonderfull Samata...keep it up
ReplyDelete