Search This Blog

Friday, December 14, 2012

KIKOSI BORA CHA DUNIA 2012: VAN PERSIE, YAYA TOURE NJE - LA LIGA YATAWALA

Katika tuzo za ubora zinazotolewa na jarida la World Soccer pia imetajwa timu bora ya dunia iliyochaguliwa na wachambuzi wa soka na wasomaji wa jarida.

Pamoja na kuwa katika kiwango bora kwa mwaka huu mfungaji bora wa EPL msimu uliopita Robin Van Persie na kiungo bora aliyeiongoza Manchester City kutwaa kombe la EPL baada ya kipindi kirefu sana - muafrika Yaya Toure hawamo katika kikosi hicho.

Hii ndio kikosi kamili cha wachezaji bora wa dunia 2012.
  

7 comments:

  1. Tuangalie hali halisi hapo Yaya Toure na Van Persie unawaweka badala ya nani?nadhani jamaa wako sawa kbs

    ReplyDelete
  2. KAKA Kwa mtazamo wangu badala ya vicent company angekuwepo pepe kisiki cha real madrid

    ReplyDelete
  3. kiukwl ndugu yetu yaya hana nafasi,na rvp hawezi enda sawa na rademel

    ReplyDelete
  4. yaya akacheze namba ya company

    ReplyDelete
  5. Hiyo aina ubishi hao watu waache kama walivyo.

    ReplyDelete
  6. KAKA KWA KIKOSI HIKI HUJAKOSEA HUKO SAHIHI KABISA. NO COMMENT. BY NYAMOKO

    ReplyDelete