Search This Blog

Tuesday, December 4, 2012

KENYA ILIVYOINGIA KWENYE NUSU FAINALI YA CECAFA TUSKER CHALLENGE CUP.

 Wachezaji wa timu ya Kenya na Malawi wakiwania mpiara wakati wa mchezo wa nusu fainali ya mchezo wa Cecafa Challenge 2012 uliochezwa katika Uwanja wa Nelson Mandela uliopo Nambole nchini Uganda jana. Kenya ilishinda 1-0 na kutinga nusu fainali.
 Mshambuliaji wa timu ya Malawi akiambaa na mpira wakati wa mchezo wa nusu fainali ya tatu ya michuano ya  Cecafa Challenge uliochezwa katika Uwanja wa Nelson Mandela uliopo Nambole nchini Uganda jana. Kenya ilishinda 1-0 na kutinga nusu fainali.
 Mshambuliaji wa timu ya Malawi Rodrick Goman akijaribu kumpita beki wa timu ya Kenya David Odhiambo wakati wa mchezo wa nusu fainali ya tatu ya michuano ya Cecafa Challenge 2012 uliochezwa katika Uwanja wa Nelson Mandela uliopo Nambole nchini uaganda jana. Kenya ilishinda 1-0 na kutinga nusu fainali.
Wachezaji w Malawi na Kenya wakiwania mpira wakati wa mchezo wa nusu fainali ya tatu ya michuano ya Cecafa Challenge 2012 uliochezwa katika Uwanja wa Nelson Mandela uliopo Nambole nchini uaganda jana. Kenya ilishinda 1-0 na kutinga nusu fainali.

No comments:

Post a Comment