Hii ni kawaida kwa watu wa ukanda huu, Tanzania tuna cha kujivunia tu kwa uwanja wa Taifa. Lakini Kagame cup last year watu walitupwa Jamhuri Morogoro. Uwanja ambao hata timu za ligi kuu bongo zinaulalamikia. Tatizo la soka la East Africa sio la kibiashara. Vinginevyo kabla ya mashindano yoyote mpunga ungepatikana kukarabati viwanja japo kufikia kiwango cha pitch ya Chamazi!
shame to the CECAFA, U cant prepare a big tournament in a such place!!!!!!!! BIG BIG SHAME
ReplyDeletewala hakukosea bin slum mana hii ni aibu kwa waganda.
ReplyDeleteTanzania lazma tujivunie ule uwanja sasa ni wakati wa wachezaji wetu kuutendea haki ule uwanja
Hii ni kawaida kwa watu wa ukanda huu, Tanzania tuna cha kujivunia tu kwa uwanja wa Taifa. Lakini Kagame cup last year watu walitupwa Jamhuri Morogoro. Uwanja ambao hata timu za ligi kuu bongo zinaulalamikia. Tatizo la soka la East Africa sio la kibiashara. Vinginevyo kabla ya mashindano yoyote mpunga ungepatikana kukarabati viwanja japo kufikia kiwango cha pitch ya Chamazi!
ReplyDeletesasa si bora pitch hii inaruhusu walau watu kuonyesha ufundi kulikoni walivyokuwa wanatafuta kambale kwenye yale matope ya Namboole?
ReplyDelete