Search This Blog

Monday, December 24, 2012

HILI NI MOJA YA TUKIO KWANGU LILI-MAKE HEADLINES IN 2012 ?JE WEWE UNAKUMBUKA TUKIO GANI LA KI-SPOTI IN 2012 ?

14 comments:

  1. Tukio la MESSI kuvunja rekodi ya gwiji Gurd Muller ya kufunga magoli 85 kwa mwaka,rekodi ambayo ilidumu kwa muda mrefu sana takriban miaka 40 hivi..

    ReplyDelete
  2. Wachezaji wa ZnZ kugawana pesa ya zawadi ya mshindi wa tatu na kuzua tafrani na uongozi wa ZFA.

    ReplyDelete
  3. hahaaaa weka chote basi hapo iliendeleaje mana kama movie vile duu

    ReplyDelete
  4. rekodi ya messi kufunga magoli 5 katika uefa champions league

    ReplyDelete
  5. kidE,
    Moja ya Event ambazo nazikumbuka ni Ile ya Man City anachukua ubingwa....through Sergio Kun Aguero! Remember wachezaji wa Man u na Mashabiki walikua washaanza celebrate ubingwa b4 Aguero haja-disturb peace.....

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tumia lugha moja acha ushamba unadhani kuchanganya lugha ndo tujue kuwa unafaham kiingereza. Kama unadhani unafahamu kiingereza vzr ni bora utumie kiingereza peke yake acha ulimbukeni.


      Delete
  6. Mimi ni jinsi usajili wa Timu kubwa za Yanga na Simba ulivyovuta hisia za watu hasa kwa mabeki Kelvin na Twite. Naipenda nchi yangu sana. Mungu ibariki sana Tanzania.

    ReplyDelete
  7. Tuhuma ya RUSHWA kwa klabu ya Azam kuwatuhumu wachezaji wake kuhongwa na Simba ili wacheza chini ya kiwango haitasahaulika miongoni mwa wapenzi wa mpira TZ na duniani kwa ujumla. Hadhi ya vilabu hivi na hasa kwa SSC ni doa linalo acha maswali mengi juu ya uwezo wao wa mpira. Huenda huu ndio mchezo ambao vioingozi wa klabu hii hufanya mara kwa mara. Hebu acheni tabia hiyo mnatuaibisha wapenzi wenu.

    ReplyDelete
  8. Nakumbuka namna Shaffih Dauda ulivyojiingiza na kuvuruga hali ya hewa pale jangwani juu ya ujio wa kocha Marcio Maximo kuja kuinoa Yanga Africans. Naona Akilimali hutamsahau kaka!

    ReplyDelete
  9. AISEE LILE LA ASTON VILLA KUFUNGWA MAGOLI NANE KWA YAI,DAH LILINIACHA HOI MANAKE HAPA BONGO MAGOLI YAKIFIKA MATANO TU WATU WANAPIGANA NGUMI UWANJANI.

    ReplyDelete
  10. TUKIO LA KUMBUKUMBU KWANGU NI MH. RAGE KUWADANGANYA WANASIMBA KUWA AMESHAMSAJILI MBUYI TWITE NA KUONYESHA JEZI YAKE KUMBE WALIKUTANA BAR KISHKAJI WAKAKUBALIANA BILA KUFUATA KANUNI NA WAPENZI NA WANACHAMA WA SIMBA WAKAPIGWA CHANGA LA MACHO HADI LEO WAKO KIMYAAAAAAA!!!

    ReplyDelete
  11. TUKIO LA KUMBUKUMBU KWANGU NI MH. RAGE KUWADANGANYA WANASIMBA KUWA AMESHAMSAJILI MBUYI TWITE NA KUONYESHA JEZI YAKE KUMBE WALIKUTANA BAR KISHKAJI WAKAKUBALIANA BILA KUFUATA KANUNI NA WAPENZI NA WANACHAMA WA SIMBA WAKAPIGWA CHANGA LA MACHO HADI LEO WAKO KIMYAAAAAAA!!!

    ReplyDelete
  12. tukio kubwa kwangu ni kifo cha mpendwa wetu kanumba. RIP kanumba

    ReplyDelete
  13. Tukio la Yanga kuwanyakua Yondani na Twite lilinifurahisha sana kwani viongozi wa Simba walifikiri usajili wa wachezaji ni suala siasa badala ya kutumia taaluma na Sheria na Kanuni za soka. Naamini wamejifunza.

    ReplyDelete