Search This Blog

Monday, December 10, 2012

HATIMAYE RAY C ARUDI KATIKA HALI YAKE YA ZAMANI BAADA YA KUSAIDIWA NA RAISI KIKWETE

Mh.Raisi Kikwete akiwa na mwanamuziki Rehema Chalamila aka Ray C leo Ikulu Jijini Dar es Salaam wakati mwanamuziki huyo alipoenda kumtembelea Raisi na kumpa shukrani kwa kumsaidia kwenye matibabu ya juu ya ugonjwa uliokuwa ukimsumbua. Aidha Ray C alimueleza Raisi kwamba afya yake imeimarika na kwamba muda mfupi ujao atarudi kuendelea na kazi yake ya muziki. Kwa upande wa mama yake Ray C amemshukuru Kikwete kwa kuokoa maisha ya mwanae kwa kugharamia matibabu yote ya mwanae.

Raisi Jakaya Kikwete akiwa pamoja na Ray C, Mama yake mzazi Ray C - Margreth Mtweve na aliyevaa nguo za pinki upande wa kulia ni dada yake Ray C - Sarah Mtweve. (Picha na Freddy Maro)

5 comments:

  1. Am so so happy for Ray C, and i would like also to thanks my President,
    Ray C is real musician no one is ready to see her is getting lost. this year May 14&15, nilienda nae Comoro for show, and she made a very nice show, every one in Comoro wish to see her again, Welcome back Ray C.
    MOSES

    ReplyDelete
  2. big up Raisi, tunashukuru kama watanzania kwa moyo wako uzidishiwe zaidi ya ulichotoa lakini pia uwakumbuke waliowengi wasio na majina kama Ray C.

    ReplyDelete
  3. Big up Raisi Kikwete, kwa kumsaidia mtoto wetu Ray C, Mungu akubariki uwe na moyo huo huo wa huruma ama kweli kutoa ni moyo, asante asante Raisi Kikwete.

    ReplyDelete
  4. Now this mustn't be done only to popular people,like musician,comedians and so on, it must also be done 2 poor people in our country...too many poor people have similar problems but no one can volunteer to help them.big up Mr president though..
    Patshizo
    Johannesburg

    ReplyDelete