Search This Blog

Sunday, December 30, 2012

EXCLUSIVE: KOCHA MPYA WA SIMBA ANATUA KESHO SAA 7 MCHANA

Baada ya kuibuka kwa maswali mengi juu ya lini hasa kocha mpya wa klabu ya Simba  mfaransa Patrick Leiwing atakuja nchini Tanzania kuanza kazi, leo hii msemaji rasmi wa klabu bingwa ya Tanzania Ezekiel Kamwaga kupitia ukurasa wake wa Facebook amethibitisha kwamba Leiwing ataingia nchini kesho mchana wa saa saba na dakika kuja kuanza kazi ya kuinoa Simba inayojiandaa kwa ngwe ya pili ya ligi kuu ya Vodacom pamoja na michuano ya kimataifa




2 comments:

  1. simba bwana some times kama mnazingua vile mjue

    ReplyDelete
  2. na tunataka mtuambie kama kuwa na makocha wengihivyo ndio kushinda au mnataka kuzidi kuleta siasa zenu kwenye soka nyie maadui wa mpira wa bongo(viongozi)

    ReplyDelete