AZAM BINGWA UHAI CUP - YAIFUNGA KWA PENATI COASTAL UNION
Mchezo wa fainali ya kombe la Uhai Cup umeisha hivi punde katika uwanja wa Karume kwa Azam FC kushinda kwa penati baada ya kutoka sare ya 2-2 katika dakika 120 za mchezo huo.
Kwa maana hiyo Azam FC ndio mabingwa wapya wa Uhai Cup wakijizolea fedha taslimu shilingi 1.5 na nusu huku Coastal Union wakiambulia shilingi million 1 kama zawadi ya washindi wa wa pili.
ZAWADI NYINGINE ZILITOLEWA KAMA IFUATAVYO Nafasi ya 3-Simba SC - 500,000
No comments:
Post a Comment