Mama yake mzazi Sharo Millionea akiwa ameshikwa baada ya kuishiwa nguvu baada ya kutoka mochwari kuchukua mwili wa mwanae |
Umati wa watu wakiwa nje ya Hosptali ya Muheza |
Ulinzi uliimarishwa |
Mwili wa marehemu ulishushwa kwenye gari kuingia ndani kwa ajili ya maandalizi ya mazishi |
Umati uliopo nje ya nyumba ya akina Sharo ambapo ndio msiba umewekwa hapo |
Mungu ailaze roho ya marehem mahala pema na aipe nguvu familia ya marehem katika kipindi hiki
ReplyDeleteR.I.P Sharo!!
ReplyDeleteKazi ya mungu haina makosa alazwe pema peponi hussein ramadhani amina
ReplyDeleteTupo nyuma yako hussein ramadhan alah karim
ReplyDelete