Search This Blog

Wednesday, November 7, 2012

PAMOJA NA KUAMBIWA KIWANGO KIMESHUKA - KASEJA AITWA STARS - MAKINDA EDO CHRISTOPHER NA MSUVA NAO NDANI

Kikosi kamili cha wachezaji hao 22 waliotangazwa na Poulsen akiwa jijini Mwanza leo ni:
Makipa: Kaseja (Simba) na Deogratias Munishi (Azam)

Mabeki: Kelvin Yondani (Yanga), Aggrey Morris na Erasto Nyoni (Azam), Issa Rashid (Mtibwa), Nassoro Masoud ‘Cholo’, Shomari Kapombe na Amir Maftah (Simba).

Viungo: Salum Abubakar “Sure Boy” (Azam), Amri Kiemba, Mwinyi Kazimoto, Ramadhan Singano na Mrisho Ngassa (Simba), Athuman Iddi ‘Chuji” na Frank Domayo (Yanga) na Shaaban Nditi (Mtibwa Sugar).

Washambuliaji: John Bocco (Azam), Simon Msuva (Yanga), Christopher Edward (Simba) na Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu (TP Mazembe)

1 comment:

  1. tatizo la wa bongo tunapenda sana na tuna chukia zaidi, hiv bado hatujajifunza ktk lig za wenzetu? tubadilike kwa tz hamna mchezaji aliyefanikiwa kumaintain kiwango chake kwa muda mrefu kama KASEJA kwahiyo mpeni muda

    ReplyDelete