Search This Blog

Thursday, November 8, 2012

CLOUDS MEDIA YAITANDIKA ETIHAD FC 3-2 JANA USIKU


Kikosi cha The Dream Team kutoka Clouds Media kilichoanza katika ya ufunguzi wa uwanja wa Etihad Stadium uliopo mwanayamala B. Katika mechi ya jana iliyochezwa usiku uliisha kwa Clouds FM Dream Team kuitandika Etihad kwa mabao 3-2 yaliyofungwa na Shaffih Dauda, Anatory Kabezi na Kikucha.
Kikosi cha Etihad FC kilichoanza jana usiku dhidi ya Dream Team
Waamuzi wa mchezo wa jana wakiongozwa na Othmani Kazi


Mgeni wa heshima Diwani wa kata ya Makumbusho Mheshimiwa Ali Haroub Mohamed akiikagua timu ya Etihad.
Nahodha wa Dream Team Mbwiga Mbwiguke akisalimiana na mgeni rasmi.



    Mwenyeji wetu Mwalimu Mkuu wa shule ya Mwananyamala B, Bwana Bambaza Odas,Mr Bambaza alitusaidia sana kwenye mchakato mzima wa ukarabati wa uwanja huu,



Ibrahim Masoud Maestro akitoa mawaidha kwa wachezaji wa Dream Team wakati wa mapumziko






5 comments:

  1. Kumbe siku hizi Rodrick ni Clouds? Aisee bonge la mamluki!!!!! Ni sawasawa na Messi kuchezea Yanga...

    ReplyDelete
    Replies
    1. kumbe nawe umeona eeh!!

      Delete
    2. umeona eeeh, chezea Rodrick weye!

      Delete
  2. Clouds kwa Mamluki ndio kawaida yao. Nashangaa hata Said Tully

    ReplyDelete
  3. nilidhani macho yangu yamekosea.kuhusu Rodrick

    ReplyDelete