Search This Blog

Monday, November 19, 2012

BREAKING NEWS! ALLY MAYAY TEMBELE NAYE ACHINJWA DRFA!



Haya ndio majina yaliyopishwa na kamati
Mwenyekiti
Evance Aveva,  Ayoub Nyenzi, Brown Ernest, Almas Kasongo
Makamu Mwenyekiti.
Mede Ramadhan, Salum Mwaking`inda, Ngungulugwa Tambaza, Issck Mazwile
Katibu mkuu
Msanifu Kondo,  Hamisi Ambali

Mjumbe mkutano Mkuu
Shaffih Dauda, Muhsin Balabouh, Shufaa Jumanne, Issack Mazwile

Mwakilishi wa Vilabu mkutano mkuu
Ben Kisaka, Juma Pinto, Frank Mchaki

Wajumbe
Shaaban Mohamed, Siza Chenja, Sunday Mwanahewa, Hamisi Kisiwa, Frank Mchaki, Bakary Mtumwa.

Waliokatwa
Said Tully (Katibu Mkuu ) , Ally Mayay (Makamu Mwenyekiti ),  Philemon Ntahiraja ( Mwakilishi wa Vilabu mkutano mkuu ), Salum Mkemi ( Mwenyekiti ) 

3 comments:

  1. yaliyotendeka ni sahihi:wasi wasi ni juu ya yule mwenye lake jambo!

    ReplyDelete
  2. Hongera Shaffih,
    Naona nyota yako yaanza kung'ara baada ya kelele nyingi hewani. Kuwa makini na wazee wa Yanga a.k.a Akilimali!!

    Mbunge-Dodoma.

    ReplyDelete
  3. Mimi binafsi sioni kama ni vyema kwako wewe Shaffih kujiingiza katika vyama hivi vya michezo. Ni dhahiri kuwa utendaji katika hivi vyama bado ni mbovu sana na tunawahitaji sana wakosoaji kama wewe (Shaffih) na wenzio wengine wa Clouds FM kutumia fursa ya vyombo vya habari kukosoa na kutoa changamoto kwa viongozi wa hivi vyam kujirekebisha ili tuweze kupika hatua. Sina shaka na wewe kuwa una dhamira njema ya kutoa mchango wako wako katika kuinua michezo (hususan Soccer)lakini wasi wasi wangu ni kuwa, ukiishaingia ndani ya hivi vyama, utamezwa na MFUMO halafu nia na dhamira safi uliyokuwa nayo isionekane machoni mwa watu, mwisho wake tutakuona kuwa na wewe pia ndo walewale!

    ReplyDelete