Search This Blog

Friday, October 5, 2012

RICK ROSS THE BOSS KASHATUA KWENYE ARDHI YA JAKAYA - BHAAAAAAAAAAASI



Muda mchache uliopita mwanamuziki wa kimataifa wa Marekani Rick Ross ambaye kesho ataivuruga Dar es Salaam katika show kali ya tamasha bora kabisa la Fiesta, ameandika kupitia akaunti ya Twitter kwamba ameshatua Bongo.

1 comment:

  1. hongera kwa timu nzima ilio andaa fiesta 2012 kwa kumleta mtu mkubwa kama the boss ricky rossy

    ReplyDelete