Search This Blog

Sunday, October 14, 2012

HIVI NDIVYO AKINA DROGBA, YAYA TOURE NA WENZAO WALIVYONUSURIKA KUPIGWA NA MASHABIKI WA SENEGAL

Yaya Toure akiongoza msafara wa wachezaji wenzie waliokuwa wakisindikizwa na polisi kutoka nje ya uwanja baada ya mashabiki wa Senegal kuvamia uwanja baada ya kukasirishwa na maamuzi ya refa kuwapa penati Ivory Coast iliyofungwa na Didier Drgba.

Mawe, vyupa na silaha nyngine zilikuwa zimetawala katika uwanja

Mashabiki wa Senegal wakiwa wameisha moto jukwaani

Kolo Toure akijikinga nyuma ya polisi akisindikizwa kutoka nje ya uwanja

Didier Drogba nae akijikinga nyuma ya polisi baada ya mashabiki kuingia uwanjani.

No comments:

Post a Comment