Search This Blog

Thursday, October 25, 2012

BREAKING NEWS! KIKOSI CHA PRISONS FC CHAPATA AJALI TANGA!

Timu ya prison ya Mbeya imepata ajali eneo la Hare mkoani Tanga,wachezaji Issa Mwantika,Lugano Mwangama,Khalidi Fungabreki,Daudi Masungwe wamepoteza fahamu na kukimbizwa hospitali ya Tanga, Kiungo wa Prisons Diego Magai akiongea na blog hii kutoka eneo la tukio amesema chanzo cha ajali iyo ni baada gari aina ya COaSter kuacha njia na kupinduka baada kupigwa na mwanga mkali wa taa za gari walilokua wanapishana nalo usiku huu,hadi saa tano na dk hamsini usiku huu majeruhi walikuwa wakikimbizwa hospitali teule ya Muheza.

4 comments:

  1. Poleni sana magereza na wapenda soka wote, mungu atawajalia mpone haraka

    ReplyDelete
  2. Mungu awape ahueni ya haraka, Ameni.

    ReplyDelete
  3. polen majembe yangu

    ReplyDelete
  4. POLENI SANA MAAFANDE WA PRISON EWEE MUNGU WAJULIE HALI WACHEZAJI HAWA WALIOUMIA ILI WAPONE KABISA NA KUTUMIKIA KLABU YAO.

    ReplyDelete