| Maraia wa mji wa Tabora wakikusanyika kwa ajili kuweza kupata taarifa juu ya Fiesta 2012 itakayofanyika wikiendi hii kwenye uwanja wa Al Hassan Mwinyi. |
| Mully B akizungumza na umati wa mashabiki wa Fiesta ndani ya Tabora leo hii |
| Mbwiga wa Mbwiguke na Mully B wakiongoza timu ya Fiesta kufanya matangazo kwa ajili ya show itakayofanyika wikiendi hii |

No comments:
Post a Comment