Search This Blog

Thursday, September 20, 2012

SD TV:HII NDIO KADI NYEKUNDU ALIYOPEWA OKWI ! MDAU TOA HUKUMU.




 

2 comments:

  1. yani kwa tukio hili sihitajiki kuwa kuwa mjumbe wa kamati ya nidhamu, mana dhahili shahili inaonesha jinsi huyu mchezaji wa JKT alivyo si muungwana na nimtu anayeonekana alipania kufanya jambolake kwa manufaa ya si ya team yake bali kumchafulia mchezaji mwenzie sifa yake.

    kwa mtazamo chanya na kwa faida ya wengine hebu tazama tukio lenyewe kwa umakini utaona kuwa baada ya filimbi kuashiria faulo,
    huyu mchezaji wa JKT hakustahili kuendelea na na kutumia nguvu kwa kuwa alishafanya hivyo na refa alipuliza filimbi

    ila kinyume na hayo yeye filimbi ameisikia na aliyechezewa rafu aliamua kuushika mpira kuonesha kwamba refa amepuliza filimbi,,,!!! ila jambo lakushangaza,, ambalo nashindwa kumuelewa hata refa kwani ameshindwa kuliona shambulio la kessy dhidi ya okwi pamoja na kwamba filimbi ilikuwa imepulizwa naye...

    na huyu kessy nini kilikuwa kina mpelekea kumpiga ngumi za mgongoni okwi ilihali filimbi imeshapulizwa,,,..???
    na jambokama hili alilifanya said mkomola kutaka kumshawishi refa atoe adhabu dhidi ya okwi na huku yeye mwenyewe ndiye chanzo,,,
    sasa basi kwa nanufaa ya watu waone uvundo huu uliofanywa na refa pamoja na wachezaji wa JKT dhidi ya okwi nilikuwa naomba MR. SHAFFIH JARIBU KUWEKA NA KILE KIPANDE CHA TUKIO LA KWANZA KABLA YA HILI UTAONA SAID MKOMOLA NAYE ALIVYO JALIBU KUMTAFUTIA OKWI KADI KWA KUMSHAWISHI REFA AKIJIFANYA KAPIGWA KIBAO CHA JICHO NA KUJITUPA CHINI >>>KWA MAONI YANGU REFA KAMUONEA OKWI KWANIHAONESHI HATA SEHEMU MOJA KWAMBA ANAKUSUDIA KUMDHURU MCHEZAJI MWENZAKE ILA NI KUJIHAMI KWAKE NDIKO KUMEPELEKEA AONEKANE AMESHABULIA MTU,,,,

    HUKU NI KUTO JUA NAMNA YA KUTAFSIRI UDANGANYIFU WA WACHEZAJI AMBAO MAREFA WAMESHINDWA KUENDANA NA TUKIO MUHIMU,,, PIA UNAWEZA WEKA LILE TUKIO LA LILILO SABABISHA MWINYI KUPEWA KADI YA NJANO UTAONA MADUDU YA REFA HUYU WA MCHEZO WA JANA<<< ni hayo tu VINCENT SIXMUND HAPA.

    ReplyDelete
  2. Hakuna kadi nyekundu pale shaffih.

    ReplyDelete