Search This Blog

Tuesday, September 25, 2012

OFFICIAL: OKWI KUIKOSA YANGA!

Taarifa nilizozipata usiku huu kamati ya ligi iliyokutana leo imemfungia mshambuliaji wa Simba,Emmanuel Okwi michezo mitatu pamoja faini ya tsh 500,000 kutokana na kadi nyekundu aliyopewa kwenye mchezo dhidi ya JKT RUVU kwa kosa la kumpiga kiwiko Kessy Mapande.
Kutokana na adhabu hiyo Emmanuel Okwi ataukosa mchezo dhidi ya Yanga.

1 comment:

  1. Fitina za soka la kibongo. Naamini waliotoa maamzi hayo ni TFF ya Yanga! Lakini wakae wakijua kwamba ata Okwi asipokuwepo, kipigo ni mtindo mmoja. Sisi kama Simba, Tutawapiga goli kama Chelsea alivyompiga leo Wolves i.e 6 kwa O

    ReplyDelete