Search This Blog

Monday, September 17, 2012

MJADALA: WADAU MNAKIZUNGUMZIA KITENDO HIKI WALICHOFANYIWA AFRICAN LYON JUMAMOSI

Hapa baadhi ya wafanyakazi wa uwanja wa taifa wakiondoa mabango ya mdhamini wa African Lyon, ambao pia walikataliwa kuvaa jezi za mdhamini wao mpya kampuni ya simu ya Zantel.




3 comments:

  1. This has been a shocking news for me mara nyingi huwa sifuatili mpira wa Tanzania ila hiki bado hajaingia akilini kweli mashirika yamekuwa waoga wa biashara kiasi hiki, je tukipita barabarani ni matangazo kiasi gani tunaona ya mashirika ya simu yakiwa yamebandikwa kwenye kuta na yakiwa ni ya aina mbalimbali. Nadhani kitaalamu kama mtu amevunja sheria ambayo iko wazi cha msingi wangewaacha waweke matangazo na jezi wavae then later wangewaita wawaonyeshe vipengele walivyovunja na sio kufanya kile walichofanya kwani that was harsh.Lingine ni makampuni mangapi kwenye ligi za wenzetu ambapo kunawashindani wa biashara moja kama vile Barclays Bank and Standard chartered, Bwin na Bet360.com hawa ni baadhi ya watu wanaofanya biashara sawa lakini inakwenda uwanjani na unakuta matangazo yote yamewekwa. Nadhani hapa tunakosa fikra sahihi tena kwa mtu mwenye kufikiria sawa sawa (chritical thinker) that was an opportunity kutambua kuwa kumbe kuna mashirika mengine ambayo yako interested na mpira na ingesaidia kukiza mpira. Imagine kwa sasa baadhi ya mechi zetu zitakuwa zinaonyeshwa DSTV halafu uwanja unakuwa kama nyumba ya mtu hauna hata tangazo moja its shame, nadhani watu wanaosaini mikataba wana uwezo mdogo wa kufikiria halafu wanaonekana wanamawazo ya dhiki kwani mtu anaogopa kuuliza kwa kuwa anaogopa kunyimwa haya ni mawazo ya kimaskini sana hatutaendelea kwa staili hii. Let this be a challenge kwa viongozi wa mpira tulionao. Nina mengi ya kusema i wish i could call in your radio program Michezo extra

    ReplyDelete
  2. Hawa TFF wasituchanganye kama kuna watu wamepewa kitu kidogo waseme. Mbona EPL inazaminiwa na Baclays alafu Liverpool wao Jezi wanazaminiwa na standard Charterd kuna utofauti gani hapo kati ya Zantel na voda Tff wezi tu

    ReplyDelete
  3. shaffih kwa tukio lile hatatusiokuwa na akili ya soka, hakika hapa tunaona kuna harufu kali ya rushwa coz haiingii akilini ukiniambia vilabu havija saini mkataba na mdhamini mkuu

    na kisha kiongozi anathubutu kuwavua jezi na kutoa mabango ya mdhamini wa tim flani eti akidai ni kinyume na makubaliano hayo makubaliano ya mkataba upi???

    na anapata wapi kiburi cha kukataza mdhamini asivaliwe jez zake hivi akiambiwa aoneshe mkataba ataonesha??
    na kama ndio kwanini asitoe mkataba hadharani watu wajue kuwa African rion wamefanya kosa....

    hapa ndio unakuja kujua kuwa huyu katumwa na kahaidiwa pesa flani kuja kuivuruga na kuidharirisha ZANTEL

    ok achilia mbali hilo kama makubaliano ni mdhamini mkuu asiweke nembo yake kifuani sasa kama tim imepata mdhamini wa kuweka nembo na kuisaidia club kwanini izuiwe kufanya hivyo, na ni kwa maslai ya nani,,,,??
    shaffih utakuja niambia kuna rushwa nzito na kama si rushwa basi TFF wana sili nzito wanayofanyaga na hawa wadhamini dhidi ya vilabu kwa maslai ya watu wachache amasivyo wasinge saini mkataba bila ya viongozi wa vilabu ambao ndio wanaosimamia ligi,,, nshauri zantel pamoja na African Rion wamshtaki yule jamaa aliyevuruga amani na kuwavua jezi tena kwa majigambo eti wakashiriki ligiyao na si ya vodaco,,,, kweliii hii ni sawa???????

    ReplyDelete