![]() |
| Hili ni moja ya bango la kumsifia Mbwana Samatta lilochorwa na washabiki wa Mazembe |
![]() |
| Huyu ni shabiki wa Mazembe akiwa na jezi yenye jina la Samatta |
![]() |
| Kama Spain -vile ni vigari maalum kubebea wachezaji wanaoumia uwanjani katika uwanja wa TP Mazembe |
![]() |
| Mbwana Samatta mwenye jezi namba 15 akiwa anapigwa konga na beki wa Al Ahly |
![]() |
| Huyu ndio mshabiki aliyevaa jezi yenye jina la Samatta |
![]() |
| Mfalme wa Mazembe Tresor Mputu akiwafanyia balaa waarabu |
![]() |
| Kidiyaba ndani ya uzi wake wa golikipa |
![]() |
| Majembe ya Kitanzania Thomas Ulimwengu na Mbwana Ally Samatta wakiwapeleka puta mabeki wa Al Ahly katika mechi ya robo fainali ya kombe la mabingwa wa Afrika iliyofanyika juzi jumapili. |









No comments:
Post a Comment