Huu ni uwanja wa Sokoine, Mbeya
Na hii ilikuwa mechi ya Prisons na Yanga (15.09.2012)
Kwa hali hii ya watazamaji kuwepo ndani ya uzio, ni hatari kwa usalama wa watazamaji, wachezaji, waamuzi na wahusika wengine
Wale wanaosimamia SOCCER Mbeya na Tanzania, wanapaswa kuliangalia hili jambo kabla madhara makubwa hayajatokea ..................

Watu wa kwanza kuchukuliwa hatua wawe waamuzi na wasimamizi wa mchezo huu, kwa kuruhusu mchezo kuendelea katika hali hii
ReplyDelete