| Nikiwa na Mbwiga ndani ya CCM Kirumba kwa ajili ya kuweka mambo sawa kabla ya show ya Fiesta Mwanza kuanza |
| Boss Ruge akiwa anaangalia kama vitu vinaenda sawa |
| Meb akiingia ndani ya gari la kurushia matangazo ya moja kwa moja kwenye TV |
| Vijana wa kazi wakiwa tayari kabisa kuingia kwenye mashambulizi |
| Mashabiki wa Mwanza wakianza kuingia uwanjani kwa ajili ya kushuhudia tamsha la Fiesta 2012. |
| Umati ndani ya CCM Kirumba |
| Hadi wazungu wana kiraru raru cha Fiesta - ndani ya CCM Kirumba |

No comments:
Post a Comment