Search This Blog

Sunday, September 2, 2012

FIESTA 2012 YAVUNJA REKODI SHINYANGA - MASHABIKI WAFURIKA UWANJA WA KAMBARAGE

Umati wa mashabiki jana uliukaza uwanja wa Kambarage Shinyanga kwa ajili ya kuangalia tamasha kubwa la kila mwaka Fiesta.

Mwanamuziki AT akiwarusha mashabiki wa Shinyanga kwenye Fiesta iliyofanyika jana usiku

Legendary Prof.Jay alikuwa mmoja ya wasanii waliofunika sana kwenye show ya jana katika uwanja wa Kambarage

Ommy Dimpoz nae alitisha sana

Roma Mkatoliki alifunika kama kawaida yake
Mmoja wa wasanii waliotumbuiza katika tamasha la serengeti fiesta 2012 katika mkoa wa shinyanga "RACHEL" akifanya vitu vyake katika steji ya serengeti fiesta 2012 mkoani shinyanga ambapo maelfu ya mashabiki wa muziki walijitokeza katika tamasha hilo 
Ney wa mitego on stage

Ommy Dimpoz akiwajibika




KWA HISANI YA LUKAZA BLOG & MICHUZIJR BLOG

No comments:

Post a Comment