Search This Blog

Saturday, August 4, 2012

PICHA YA SIKU - EMMANUEL OKWI - IANDIKIE CAPTION


9 comments:

  1. Austria iko jangwani

    ReplyDelete
  2. Mashabiki wa Yanga nina wasiwasi na ninyi kuwa mnafikili kwa makalio. Star wa kimataifa kama Okwi awezi kuja kuuwa kiwango kwa Yeboyebo

    ReplyDelete
  3. Nasubiri Simba wamtoe kwa mkopo kwa lazima,kwanini amevaa jezi ya njano hata kama imeandikwa Tusker?

    ReplyDelete
  4. Kumekuchaaaaaaaaa!! Ni Kulwa ama Doto?

    ReplyDelete
  5. Mimi ninaamini wewe ndiye unayefikilia kwa kutumia sehemu yako ya kunyea! Huwezi kutukana watu bila sababu. Kwa nini asiue kipaji akiwa simba? ua unataka kutuambia kuna tofauti gani kati ya simba na yanga kwa viwango vya soka? Jifunze kuwa shabiki wa mpira siyo kuwa shabiki wa timu hadi ukawa huelewi jambo lolote nje ya Simba yako we bwege. Usiandike tena ushambaushamba wako kwenye blog za maana kama hizi tafuta blog zako za ngono ukaandike ujinga. Mimi ni shabiki mkubwa wa yanga lakini mambo mazuri yakifanywa na Simba nayatambua pia.

    ReplyDelete
  6. Jamaa ni jembe.mashabiki wa soka la bongo eti wanaombea ashindwe ili arudi tz.ujinga huo

    ReplyDelete
  7. Alwayz mpira wa bongo ni fitna tupu,so cshangai sana swala Okwi kwenda Yanga japo inauma sana!Kabulu ndo mchawi namba moja wa Simba ktk hili swala la Okwi.....Ambae atahitaj ufafanuz zaidi kuhusu suala hili anitafute cz ninao mkanda mzima na ushahidi wa kutosha,Pia hii si mara yas kwanza kwa Kabulu kucheza mchezo huo mchafu kwani mara ya kwanza aliucheza kwea Kaseja kwenda Yanga.Kwa kifupi wana Msimbazi wenzangu huyu kiongozi hatufai......Atakaehitaji ufafanuzi zaidi anicheki kupitia e-mail yangu nabiimteule75@gmail.com

    ReplyDelete
  8. caption THE JEMBE IS BACK @MSIMBAZI


    BY festchrist

    ReplyDelete