Kocha Jose Mourinho ameendelea kuvunja rekodi mbalimbali katika ulimwengu wa soka, baada ya kuwa ndio kocha pekee aliyechukuwa ubingwa ligi kuu za nchi nne tofauti kubwa barani ulaya na vilabu vya Porto, Chelsea, Inter Milan na Real Madrid.Usiku wa kumakia leo Jose Mourinho alikiongoza kikosi chake cha Real Madrid kuwafunga mahasimu wao wakubwa FC Barcelona bao 2-1 kwenye mchezo wa pili wa kogembea kombe la Supercup kwenye uwanja wa Santiago Bernebeu. Kwa matokeo hayo timu hizo zikafunga kwa jumla ya mabao 4-4, lakini kutoka na Madrid kuwa na idadi kubwa ya magoli ya ugenini wakatwaa ubingwa huo wa tatu tangu Mourinho afike Bernebeu.

Salute the Special One aka Only One JOSE MOURINHO

No comments:
Post a Comment