Search This Blog

Friday, August 3, 2012

HUYU NDIO LIONEL MESSI ANAYEFUATIA BARCELONA - ANAITWA GERARD DEULOFEU

Ni kijana mwenye miaka 18, aliyeanza kuitumikia klabu ya Barcelona kwa takribani miaka 10 iliyopita. 
Kinda la kihispania ambaye anatabiriwa na wengi kuwa Lionel Messi au Cristiano Ronaldo mpya katika ulimwengu wa soka duniani. 

 Hii hapa ni video yake inayomuonyesha tangu alipokuwa mdogo akaiichezea timu ya Barcelona ya watoto wa chini ya miaka 11 mpaka alivyopandishwa  kuichezea Barcelona B. Angalia video hii then utoe maoni yako kwamba ni kweli anastahili sifa anazopewa. 

By Aidan Charlie

1 comment:

  1. Anastahl coz ana uwezo na kla k2 ambacho hawa malegend M10 na Cr7 wanavo bt yy kazd coz ana2mia miguu yote kpga na hata kdrible mpra

    ReplyDelete