![]() |
Mohamed Nassor (kushoto) akimshuhudia mshambuliaji wa klabu ya Simba, Daniel Akuffo akisaini mkataba wa kuichezea klabu hiyo.
|
![]() |
Mohamed Nassor (kushoto) akimshuhudia beki mpya ,Paschal Ochieng akisaini mkataba wa kuichezea klabu hiyo.
|
![]() |
| Ochieng kulia na Akuffo kushoto |




mbona wachezaji sura zimekomaa wanaonekana mijizee?tafadhari chukueni vijana toka simba ya matola vijana wanapiga wale washakomaa,mtaendelea lini kuthamini wanaozalishwa hapo hapo?
ReplyDelete