Search This Blog

Friday, August 10, 2012

CHEMSHA BONGO! HUYU NI NANI NA KWANINI ALINYOA HIKI KIDUKU.

Hint: ni Raisi wa klabu moja ya soka nchini Ufaransa.

2 comments:

  1. Rais wa klabu bingwa wa ufaransa ligue 2011-2012 Montpellier Louis Nicollin ni ahadi aliyoitoa kuzipaka rangi nywele zake rangi ya uzi wa klabu yake indapo itashinda ligue 1 msimu uliopita na ndivyo alivyofanya.

    ReplyDelete