Search This Blog

Friday, August 10, 2012

ANDIKA CHOCHOTE KUTOKANA NA HIZI PICHA ZA MBWANA SAMATTA.


4 comments:

  1. Huyu jamaa anajua dunia nzima.. mimi kama one of his fans ningependa kumwona akitumikia Taifa kwa kipindi hiki ambacho msaada wake unahitajika.. Big up Samataa...

    ReplyDelete
  2. Drogba bana et "Dogo unajua Sana ngoja nifanye mpange uende Arsenal kwa Babu Wenger"

    ReplyDelete
  3. Mchezaji pekee kutoka Tanzania wa zama hizi ambaye tunaamini anaweza kufika mbali kutokana na kipaji chake pamoja na mtazamo wake kuhusu mafanikio katika soka.

    ReplyDelete
  4. Dogo anaujuwa kiukweli wala habaatishi na tunamtakia kila lakheri,,,,,,,,,,aweze fikambali zaidi.

    ReplyDelete