Search This Blog

Friday, July 20, 2012

WADAU WA EPL BIG FOUR FORUM WAKUTANA JIJINI DSM.

Wadau wa Forum Ya Mashabiki wa Soka la Uingereza ijulikanayo kama EPL BIG FOUR FORUM hivi kariubuni walikutana kwa ajili ya kufahamiana.
forum hii inaundwa na wadau mbali mbali kutoka taasisi mbali mbali na Serikali na Binafsi hapa nchini .

 Wadau hawa waliamua kupimana nguvu kwa kukutanisha mashabiki wa SIMBA na Yanga kutoka katika forum hiyo siku ya Jumamosi Tarehe 14-July-12 katika viwanja vya chuo kikuu. Mtanange huo uliishia kwa Watani hao kutoshana nguvu ya Goli 3-3.

 Na baadae wadau hao waliamua kwenda maeneo ya Changanyikeni Upland Center kwa ajili ya kuendelea na Forum Day hiyo ambayo inakua inafanyika kila mwaka.






No comments:

Post a Comment