![]() |
| Mashabiki wa Manchester United wakishangilia kwa nguvu baada ya kukabidhiwa kombe lao. |
![]() |
| Mashabiki wa Manchester United wakishangilia baada ya kuingia fainali. |
![]() |
| Mashabiki wa Machester United wakiimba kwa furaha |
![]() |
| Warembbo wa Chelsea walikuwepo kuwakilisha |
![]() |
| Wachezaji wa timu za mashabiki wa Manchester United na Barcelona wakichuana vikali katika mchezo wao wa fainali ambapo Manchester United ilishinda mchezo huo. |
![]() |
| Mchuano mkali ukiendelea kwenye viwanja vya TCC Sigara. |
![]() |
| Mambo ya mnyama na burudani ileile |
![]() |
| Vinywaji vilikuwa vya kutosha kama vinavyoonekana katika picha |
![]() |
| Mashabiki wa timu ya Chelsea wakishangilia mara baada ya kuingia nusu fainali. |
![]() |
| Mashabiki wa Barcelona wakishangilia baada ya kuchukua ushindi wa pili katika bonanza hilo |
















No comments:
Post a Comment