Search This Blog

Thursday, July 19, 2012

HII KALI: EMMANUEL OKWI ANATOKA KIMAPENZI NA SINTAH?????

Baada ya kufanikiwa kuiwezesha Simba SC kunyakua ubingwa wa ligi kuu ya Tanzania, striker mwenye kutupia jersey namba 25 yaonekana  sasa yuko in love with Sintah who used to be Juma Nature's girlfriend.

 Kwa taarifa yako ni kuwa penzi la Emanuel Okwi na Christine John "Sinta" who proclamed herself as JLO wa Bongo liko wazi wazi hakuna cha kuficha even followers wa twosome hawa kwenye Twitter knows bout this.


 "OMG!  nani kawaambieni uwa mie na-date na Sintah? she use to be my close friend toka akisoma nchini kwetu UG, but is there any problem kama nikiwa na mahusiano ya kimapenzi nae?" aliuliza Okwi ambaye kwa sasa yupo Austria baada ya kutwangiwa phone na Mwandishi wa Baabkubwa.


 Lakini side B kwa Sintah ambaye kwa sasa ni co-host wa show iitwayo "Hatua Tatu" alongside Steve Nyerere at Times FM  ilikuwa hivi, "Jamani Okwi ni mshakaji wangu wa karibu, nilikuwa karibu nae toka na-xul Uganda but tukapotezana baada ya yeye kwenda kucheza Rwanda ambapo hivi majuzi  mwenyewe ndio kanitafuta akitaka kunijulia hali"- alitok Sintah.
 Haikupita dakika kadhaa, Sintah called back asking about alichokisema Okwi, "Jamani simniambie amesemaje nifurahi jamani, niambieni kama kasema ananipenda au kama kanikana jamani?"
 Okwi uko tayari kutunga nyimbo kama alivyofanya Nature?


Source:www.baabkubwamagazine.com

 

2 comments:

  1. Hii blog bw Shafii si ya udaku. Kama unataka kutoa habari za udaku fungua blog nyingine. Habari za Okwi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Sintah inatuhusu nini sisi wadau wa hii blog hususani mimi. Mambo haya ya udaku ni ya magazeti ya udaku. Unatueleza habari hizi so what? Blog yako hii ni ya watu wanaojadili masuala ya msingi tu. UDAKU hauna nafasi hapa Shafii.
    naomba kwasilisha.

    ReplyDelete
  2. Me naona sawa okwi ni mwanamichezo na hii ni blog ya michezo so tatizo nn madau?

    ReplyDelete