Search This Blog

Friday, July 13, 2012

KISA CHA MWL J.K NYERERE KUTOINGIA KWENYE VIWANJA VYA SOKA.

Na Adam Fungamwango
NAHODHA wa Taifa Stars Abdurahman Juma akimtambulisha rais wa Sudan wakati huo Nimeir kwa mchezaji Omary Zimbwe, huku Mohamed Chuma kushoto, Kitwana Manara mrefu na Abdallah Kibadeni anayeonekana kichwa wakishuhudia kwenye mechi ya kimataifa kati ya Stars na Sudan! Kwenye mechi hiyo Stars ilicheza tumbo wazi kwa uzembe wa viongozi wa FAT! Nyerere ambaye alikuwa rais wakati huo kwa tukio hilo alisusa kwenda mpirani hadi anafariki! Hii ilikuwa miaka ya 1970 hivi

1 comment:

  1. Mmmmhhhhhh kweli tumetoka mbali 1970 tunacheza vifua wazi kweli hatari.

    ReplyDelete