Halikua baokali sana,bali lilikua bao lililoihakikishia klabu ya CORINTHIANS ya nchini Brazil ubingwa wa kwanza wa kombe la klabu bingwa barani Amerika ya Kusini almaarufu kama COPA LIBERTADORES. Corinthians ilifanikiwa kuifunga Boca Junior ya nchini Argentina mabao 2-0 na kufanukiwa kushinda kwa jumla ya mabao 3-1 baada ya michezo miwili ya Fainali. Mabao yote mawili yaliwekwa kimiani na Emerson,
No comments:
Post a Comment