| Majaji wa EBSS Salama J, Master J na Madam Rita wakifanya majadiliano kwenye kuchagua washindi wa EBSS kutoka Arusha |
| Mshiriki akionyesha uwezo wa kuimba na kupiga gitaa mbele ya majaji wa EBSS |
| Mmoja wa washiriki akiwa kwenye foleni ya kusubiri kuingia kuwaona majaji wa EBSS - vijana wapo tayari kwa lolote kwenye kutimiza ndoto yao ya kufunguka na EBSS |
| Foleni ya washiriki wa Arusha kwenye ukumbi wa Tripple A wakisubiri zamu zao waende kufunguka na EBSS. |
| Majaji wakimsikiliza mshiriki aliye mbele yao |
| Madam Rita akishow na mshiriki mmasai |

No comments:
Post a Comment