Search This Blog

Saturday, July 21, 2012

EPIQ BONGO STAR SEARCH NDANI YA MBEYA - GREEN CITY - WAWAKUMBUKA WAHANGA YA AJALI YA BOTI ZANZIBAR

Majaji wa Epiq BSS - Madam Ritha, Salama na Master Jay wakisimama kwa dakika 1 kuwakumbuka wahanga wa ajali ya boti iliyotokea Zanzibar.


Umati wa vijana wenye vipaji wakitafuta nafasi ya kufunguka na Epiq Bongo Star Search


Mmoja ya washiriki akichangia damu kabla ya kuingia kwenye chumba cha sindano kwa majaji kuonyesha uwezo wake.

No comments:

Post a Comment