DERRICK WALULYA AGEUKA LULU KWA MASHABIKI WA SIMBA
Baada ya jana kucheza kwa kiwango cha juu kwenye mchezo kati ya timu yake ya zamani na sasa, URA vs Simba, baadhi ya mashabiki wa Simba wamesema beki huyo aliondolewa Simba kimajungu na alikuwa hapangwi kwa sababu ya makocha kuangalia majina sio viwango.
huyo alikuwa na mkataba wa miaka miwili simba,sijui wameuvunja.mwaka huu kazi kwenu kama beki masombo kaanzia benchi,halafu wanaomweka benchi ni nyoso na mungusa,vilio havitaisha msimbazi,labda marefa waendlee kuwapeni penati
Majitu mengine bana sijui hayana akili sasa wewe umeona ajabu Masombo kukaa bench wakati ni majeruhi mbona mtakatifu Tom kasema Niyonzima ni majeruhi na kesho game ya Djibouti hachezi ,kwa hiyo namba yake akicheza Mwasika, utasema Mwasika na fiatu fyake amemweka bench Niyonzima ? Na Kama suala la Simba kufungwa mbona Yanga mmefungwa wakati Canavaro na Yondan wakiwa wanacheza wakati mlitamba kabla kuwa mna ukuta wa Berlin?
huyo alikuwa na mkataba wa miaka miwili simba,sijui wameuvunja.mwaka huu kazi kwenu kama beki masombo kaanzia benchi,halafu wanaomweka benchi ni nyoso na mungusa,vilio havitaisha msimbazi,labda marefa waendlee kuwapeni penati
ReplyDeleteMajitu mengine bana sijui hayana akili sasa wewe umeona ajabu Masombo kukaa bench wakati ni majeruhi mbona mtakatifu Tom kasema Niyonzima ni majeruhi na kesho game ya Djibouti hachezi ,kwa hiyo namba yake akicheza Mwasika, utasema Mwasika na fiatu fyake amemweka bench Niyonzima ? Na Kama suala la Simba kufungwa mbona Yanga mmefungwa wakati Canavaro na Yondan wakiwa wanacheza wakati mlitamba kabla kuwa mna ukuta wa Berlin?
ReplyDelete