Search This Blog

Friday, July 6, 2012

DEBATE: GOAL LINE TECHNOLOGY ITAONGEZA RADHA AU ITAPUNGUZA ?


Hivi hii Teknolojia ya kubaini iwapo mpira umevuka mstari wa goli maarufu kama Goal Line Technology iliyoidhinishwa na bodi ya kimataifa inayosimamia sheria za Soka Ulimwenguni IFAB, Itaongeza radha ya mpira au Itapunguza??....Na vipi kuhusu sisi tuliopo huku Ulimwengu wa tatu, teknolojia hii itatufikia lini??...TUNAKARIBISHA MAONI YENU.

9 comments:

  1. kiukweli kabisa teknolojia iyo ya mstari wa goli itapunguza kabisa ladha ya mchezo wa soka kutokana na kwamba mpira ni mchezo wa makosa ivyo basi makosa ya kibinadam yanahitajika ili kunogesha soka ni hayo tu ni mimi REUBEN NZOWA BOBAN

    ReplyDelete
  2. Mimi ndhani fifa wanashikwa masikio na waingeleza haiwezekani wakomalie kisa lampard alikataliwa goli kule kw mzee wetu madiba dhidi ya ujerumani na ndiyo mfano mpaka waanzishe hii kitu hapo,ila italeta ladha ya mpira,naunga mkono hoja,bony M,tandika mwembeyanga

    ReplyDelete
  3. Taste ya football itapungua coz maamuz ya utata sometime yanaleta radha.wasije waka apply iyo tech. Kwenye maamuz ya penati ndo wataharibu kabisaa,TZ isije iyo tech. Itaondoa radha ya mechi za ndondo.MKULIA DONALD

    ReplyDelete
  4. bora wasilete kwasababu mpira utakuwa unachezeshwa na mashine na hakutakuwa na radha cha msingi na kwa waamuzi kuongeza umakini pindi wawapo uwanjani

    ReplyDelete
  5. what we just need is naturalities...... when you start mechanize the game.... it will not sound... after all machine can not work just like human being work...... brother shafii ikija na kwetu huku mara umeme hamna think on that... i like your blog

    ReplyDelete
  6. SALUM YANGA CHELESAJuly 6, 2012 at 4:01 PM

    Kiukweli kabsa hakutakuwa na ladha tena, coz mchezo wa soka ni mchezo unaotawaliwa na makosa sn, kwa hyo kama hii teknolojia itaruhusiwa kutakuwa hakuna maan tena na dhumuni la mchezo litapotea kwa kuwa timu inapofungwa na goli likawa ktk utata nafkr wachezaji wanongeza juhudi zaidi na ndo cc wapenzi tunazidi kupara raha zaidi coz tunakuwa tunaangalia ufundi wa kila timu,kwa mfano angalia mpaka leo england wanaweweseka na goli la mkono la maradona kwa hyo cku yoyote wakikutana tunategemea kupata ladha ya hali ya juu kutokana na england kutaka kulipa kisasi, kwa sababu leo hii labda tungekuwa tunazungumza mengne kama hii teknolojia ingekuwepo wkt ule victor ikpeba anapga bao la penati dhidi ya cameroon na mpira unagongea ndani na referee anakataa, labda me ushauri wangu ningependa hii ya waamuzi watano coz ingebaki pale pale ni waamuzi ndo wanafanya kazi na cyo mashine coz mashine sometimes inatoa errors na cku zote errors zpo ktk mashine na mistake zpo kwa binadamu na kwa kuwa mpira ni mchezo wa makosa na makosa yanafanywa na binadam basi tuache hayo makosa yaendelee ili chachu ikolee.
    SALUM(YANGA CHELSEA).............POA KAKA 2PO PAMOJA COZ MDAU WAKO MKUU WA HII BLOG YAKO.

    ReplyDelete
  7. Mi naona itaboresha ila kwa vile kutakuwa hamna lawama tena kwa marefa. mfumo huu ukifanikiwa basi baada ya miaka 10 ijayo kutakuwa hamna haja ya marefa pia maamuzi yote yatafanywa na mashine. THOMAS WENGER (ARUSHA)...Big gooner

    ReplyDelete
  8. mi naona itapunguza mana mpira sasa utakuwa wa mashine umuhimu wa binadamu kufanya kazi yake utapotea,sometimes vitu kama hivyo vinaongeza burudani katika soka

    ReplyDelete
  9. Sihani kama ladha itapungua naona tuu haki itatendeka zaidi na ndicho watu tunachokitaka. Kila siku mnalalamika ooh Man U wanabebwa mara nini leo tunataka ondoa malalamiko mnaona ladha iapungua hamjui haohao marefa wengine wanafanya makusudi? Teknolojia kama hizi zinatumika miaka mingi katika American Football na Basketball ya NBA na hakuna ladha kupungua wala nini ila ni haki mtindo mmoja.
    Mimi.

    ReplyDelete