Search This Blog

Saturday, July 21, 2012

BAADA YA YONDANI - SIMBA WAPIGWA BAO LINGINE - IBRAHIMU JEBA ARUDI AZAM APOKELEWA


Baada ya TFF kutangaza kuwa Yondan ni wa Yanga 100%, Jeba naye karejea Chamazi na kuomba msamaha na kusamehewa na sasa anapiga Jaramba na chama lake la Azam FC... Poleni wazee wa Magazeti na Redio... Nilisema kuwa Jeba atacheza Azam FC na yametimia
· · · 3 hours ago
 
Kwa mujibu wa manager wa timu ya Azam Patrick Kahemele ni kwamba kinda la klabu hiyo lilisajiliwa na Simba mwanzoni mwa mwezi uliopita kwa ajili ya kuitumikia timu hiyo msimu, amerudi tena Azam baada ya taratibu za kumsajili kutofuatwa na Simba.

No comments:

Post a Comment