Search This Blog

Friday, July 27, 2012

BAADA YA MASHABIKI WA SIMBA KUSHUTUSHWA NA KUONDOKA KWA MILOVAN - MSEMAJI WA KLABU ATOA MAJIBU


Salaam...Jamani, Milovan Cirkovic ana udhuru na safari yake ilikuwa imepangwa regardless matokeo ya Azam....Kama tungeingia fainali, angecheza kwanza mechi na kuondoka kesho yake....Tatizo kitu kidogo tu Simba watu wanaongeza chumvi na kwa bahati mbaya, sisi washabiki wa Wekundu tuna mioyo myepesi sana...Kitu kidogo tu tukiambiwa tunalegea kabisa...Wenzetu waliambiwa wanaletewa Maximo hapa, chenga....Wapo tu.....Wamepigwa tano hapa.....Wapo tu....Wamemaliza ligi wakiwa nafasi ya tatu...Wapo tu....Sisi ikiandikwa Okwi yuko Dar watu wanakuja na visu ofisini.....Yaani nashindwa hata kuelewa....Inaumiza lakini, WHY tuko hivi? Tuko on the back foot utadhani sisi ndiyo the worst team in the country!
· · · 2 hours ago

  • 6 people like this.

    • Khamis Nigwa Naona kipigo cha Azam kimetuchanganya wanaMikia mpaka sasa hatujielewi sasa uvumilivu wa watani unatuhusu nini sisi? Nazitakia fainali njema Azam na Kualar Lumper Malaysia!
    • Fred Mtaki
      kiukweli Kamwaga ameuka kama mtunga taarabu tu. sasa wewe mtu kama ni msemaji wa club wapi na wapi uanze kuzungumzia mambo ya Maximo wakati wewe unayakuzungumzia ya club yako. Toa taarifa ya club yako watu wakuelewe! Yaani umetoka kabisa kw...See More
      about an hour ago · · 2
    • Salim Bongoland Jamani simba timu ya maendeleo imeendelea kimpira. Walisema hayo
    • Fred Mtaki tatizo mnawaendea kina Kamwaga na mavisu ofisini!
    • Kazukamwe Bahanuz Yanga Hana lolote huyo
      55 minutes ago via mobile ·
    • Anthony Siame kamwaga hao ndiyo mashabiki wa timu zetu hasa simba na yanga kwani we mgeni nao
      33 minutes ago · · 1
    • Lusekelo Hudson duu kwa viongozi hawa mpira bongo una safari ndefu sana
      18 minutes ago · · 1
    • Hassan Abbas Pole kaka@Kamwaga...
      7 minutes ago ·
    • Mpeli Jr Ngonywike
      Ndugu yangu Ezekiel Kamwaga pole sana!!! Najua upo ktk kipindi cha majaribu ya kibarua chako na migogoro klabuni. Laiti usemaji wa klabu ungekuwa ndo hivi basi ajira Tanzania zingekuwa nje nje . . . . . Maximo, goli tano na nafasi ya 3!!! H...See More
      5 minutes ago · · 1
    • Epafraditto Frank kaka leo umejitoa muhanga kusema kweli, ni vizuri lakini angalia kauli hii isije kukugeuka kaka clifford ndimbo, simba nawajua, hawataki kuambiwa ukweli na hivi wana machungu ya kichapo......take care..all in all big for good comments and clearance of "poor mindset among simbas fans
    • Ayoub Jay kawaida simba ni mnyama mkali sana na hatari porini. Hasira za mashabiki wenu ni sawa na hasira za ukali wa simba.....usiwashangae, jina la timu linachangia washabiki kufanana na mnyama halisi..... Iko siku watakutafuna kabisa,....ohoo...shauri yako wee.....
      2 seconds ago ·

5 comments:

  1. Kamwaga nenda JAHAZI modern taarab maana una maneno ya Kanga mjomba poleni sana subiri bakora za wanachama.Sioni mantiki yako mara oooh goli 5,Maximo,nafasi ya 3 huo ni ulimbukeni inaonyesha jinsi gani huna elimu ya usemaji.

    ReplyDelete
  2. kimwaga vipi unazungumzia kuondoka kwa milovan au kuhusu yanga
    be a man and grow up

    ReplyDelete
  3. KAMWAGA USHAMBA UNAKUSUMBUA NA UMBUMBU WA KABUMBU NI TATIZO KWAKO UMEULIZWA SWALI UNARUKIA OH, TULIWAPIGA TANO YANGA MARA OH, WALISEMA MAXIMO ANAKUJA HAKUJA, MARA OH YANGA ALIMALIZA NAFASI YA TATU YOT YA NINI WAMBIE WANASIMBA KWANINI TIMU HAIKUFANYA VIZURI KOMBE LA KAGAME BASI NA VISINGIZIO VYA WACHEZAJI KUTOZOEANA SIYO MAHALA PAKE MBONA MLIPOCHUKUA KOMBE LA UJIRANI MWEMA HAMKUSEMA HIVYO AU NI NINI KILIFANYA MSIZOEANE KWENYE KOMBE LA KAGAME? WAKATI KOCHA NI YULE YULE, UWANJA NI ULEULE WACHEZAJI NI WALEWALE? ACHA HIZO MATOKEO YAKE MNAMUOMBEA OKWI ASHINDWE MAJARIBIO ARUDI SIMBA AIBU HIYO UONGEE KAMA MSOMI USIONGEE KAMA MSEMA CHOCHOTE.

    ReplyDelete
  4. We kamwaga embu jiheshimu kama vipi uwe unauliza vi2 vya kupublish kuliko kulopoka ujinga kama huo.Timu yako ina matatizo kibao unaaza kuwa mzungumzaji wa timu nyingine we vipi bwana?.kuongea si lazima if you find no words to speak,

    ReplyDelete
  5. kaka umesahau kiitikio cha hiyo mistari yako angalia kibwagizo hapa chini.
    Mbona tulitumia hela zenu kwend Uturuki kuwaletea uwanja mkachanga na mijihela hatukuuleta uwanja lakini hamkusema itakuwa hili dogo tu mnchoonga wacheni kuchonga bana

    ReplyDelete