Search This Blog

Friday, June 22, 2012

YONDANI AANZA MAZOEZI YANGA LEO ASUBUHI LEO



 







Kelvin Patrick Yondan, beki wa kimataifa wa Tanzania, ameanza mazoezi rasmi leo katika klabu yake mpya, Yanga SC. Yondan alitinga maeozini asubuhi na kushangiliwa ile mbaya na mashabiki wa klabu hiyo Uwanja wa Kaunda, Jangwani, Dar es Salaam. Picha tofauti zikimuonyesha Yondan mazoezini nYanga

Picha kwa hisani ya BIN ZUBEIRY.


10 comments:

  1. Gud decision m2wangu endelea kukamua hiyo ndo yanga bana edwin dushi

    ReplyDelete
  2. BIG UP YONDAN NINEFURHI KWENDA KWA MTANI WANGU CZ WALIKUWA WANAKUNYANYASA MDA MWINGINE KWA TYHUMA ZISIZO NA MAANA,WEWE JEMBE KAKA NI NI SHABIKI WAKO NAMBARI 1 YONDAN BIG UPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPPP SANA.BONY WA MWEMBEYANGA TANDIKAAAAAA

    ReplyDelete
  3. safi sana yondani kamua usiogope maneno yao

    ReplyDelete
  4. Kila la heri Yondani, Msimbazi tulikupenda lakini Ndala wamekupenda zaidi.

    ReplyDelete
  5. be free upo nyumbani Yondani. Tupo pamoja sana.Wanayanga tupo pamoja nawe

    ReplyDelete
  6. shaffih hebu fanya interview na yondani tuwekee conversation humu tuone ukweli wake. MIMI NI SHABIKI WA YANGA LAKINI KAMA KWELI ALISAINI SIMBA BASI HE IS IN TROUBLE.

    ReplyDelete
  7. naona toka akilimali akuchane umeanza kuwa fea na mpole kwa habari za yanga next time usisubiri mpka wazee wakutoe nishani fanya kazi km waandishi wengine wa habari acha mapenzi acha kutumiwa kwa na watu kwa ajili ya kuizoofisha yanga kamwe hutafanikiwa ukita kuja hilo muulize KILEO wa uhamiaji na ishu ya SAID MAULD

    ReplyDelete
  8. Inaweza ikawa ni uamuzi muhimu, bt.....!

    ReplyDelete
  9. Pamoja sana jembe kaza buti mwaka huu kifo kwa mnyama halali yake

    ReplyDelete