Search This Blog

Saturday, June 9, 2012

WENYEJI POLAND WAANZA KWA SULUHU - KIPA WA ARSENAL APIGWA KADI NYEKUNDU


Poland 1-0 Greece (Euro 2012 - Group A) - All... by fasthighlights-2012

3 comments:

  1. we mpira umeangalia peke yako nini? na ile kadi nyekundu aliyepewa mchezaji wa ugiriki lilikuwa box au kitu gani? au unasikia raha tu kuitamka arsenal katika mabaya acha kuandika kitu usichokuwa na uhakika nacho watu wanaangalia mpira bana we ukiadithiwa tu unakurupuka. sema kadi nyekundu ya pili sio ya kwanza.

    ReplyDelete
  2. kaka naona hutupendi the gunners mpaka ukasema kipa wetu kapigwa kadi nyekundu ya kwanza katka euro. Sokratis Papastathopoulos wa ugiriki ndio wa kwanza kupigwa red card katika euro.

    ReplyDelete
  3. Uandisha taaluma jamani,sio umemaliza form 4 tu unakuwa muandishi,alitakiwa kuandika kipa wa poland apigwa kadi nyekundu,yaani jamaa mnazi hadi kero

    ReplyDelete