Search This Blog

Thursday, June 7, 2012

TETESI : JUMA NYOSO HUYOO YANGA

TAARIFA NILIZOZIPATA HIVI PUNDE BEKI WA SIMBA JUMA NYOSSO MUDA WOWOTE KUANZIA HIVI SASA HUENDA NAYE AKASINI KWA AJILI YA KUJIUNGA NA YANGA.
TAARIFA NILIZOZIPATA KUTOKA KWENYE CHANZO CHA KUAMINIKA KIKOSI KAZI CHA YANGA TAYARI KIPO KWENYE KAMBI YA TIMU YA TAIFA KWA AJILI YA KUMALIZANA NA BEKI HUYO .

9 comments:

  1. Ama kweli Manji a.k.a Sheikh Mansoor ameamua kuimaliza simba, akimsainisha na Okwi simba lazima waandamane
    Mdau
    Mike

    ReplyDelete
  2. yanga n wachaw hawapend maendeleo ye2 wanadhan kla cku wao 2?

    ReplyDelete
  3. hakuna lolote hata achukue wachezaji 11 simba itaendelea kuwepo tu,kwani okwi anacheza peke yake simba?inaonekana wewe mshabiki wa kusikiliza kwenye redio,hii ndio simba hata wafanye nini tutabaki kuwa simba daima,umesikia wewe shangazi?

    ReplyDelete
  4. beka,Kigamboni DSMJune 8, 2012 at 7:30 AM

    Yondan heri aende yanga atuondolee presha ya kutufungisha na Yanga. Kumbe alikuwa hasingiziwi alikuwa na mawasiliano na yanga.Fikiria mtu kama huyu anaweZa kuwageuka wafadhili wake?(Yondan alikuwa na 15m ya Yanga toka November 2011) Tumewafunga 5 yanga kwa sababu wanaompa pesa yondan walikuwa wanataka Nchunga afukuzwe!!ONCE TOTO AFRICAN always YANGA!!

    ReplyDelete
  5. Kwa kweli shaffih haya matukio yanayotokea kwa vilabu hivi viwili vinaonesha ni kwa jinsi gani vilivyo na viongozi washamba kwa kutozifahamu taratibu za uhamisho wa wachezaji au usikute ni kamchezo ka kutafuta manufaa zaidi au ni kutaka kukomoana kwa vilabu hivi ambavyo kwa muda vimekuwa jicho la mpira wa Tanzania.Swali langu ni UJINGA huu utaendelea mpaka lini?Au itafikia mahali hata viongozi wa vilabu hizi waajiriwe kutoka nje kama ilivyo kwa Makocha na wachezaji.
    Raymond Masimba
    Mdau
    Arusha

    ReplyDelete
  6. na bado wakizidi kuongea pumba tutabeba first eleven yao wote,maskini wa pesa hao simba

    ReplyDelete
  7. Unajua wadau nimekuwa nikifuatilia kwa karibu huu usajili wanaoufanya SIMBA NA YANGA, ni mambo ya ajabu yamekuwa yakifanyika kwa hawa viongozi wa vilabu hivi, yaani hawajaona kabisa kwenye timu zao za vijana, wachezaji vijana wa kuwapandisha na kuwapa changamoto mpya na mategemeo ya kukamilisha ndoto zao"?leo hii wanaenda kuvutana kung'ang'ania wachezaji ambao wameshajichokea bila sababu za msingi, kuna wachezaji wazuri sana kwenye timu yetu ya taifa ya vijana, kama ningekuwa mimi kiongozi ninge chukua karibu robo tatu ya timu ya vijana,halafu unachangaya na kidogo wenye uzoefu nikizingatia umri na viwango vyao!! lakini wanachokifanya bure kabisaaaa, shafii hawa jamaa wamezoea vilivyochacha vile fresh hawavitaki

    ReplyDelete
  8. simba itabaki kuitwa simba kikitoka kitu kinashuka kitu kwa hiyo mashabiki hatuna wasiwasi sema simbaaa

    ReplyDelete
  9. Shaffih jitahidi kuwa unathibitisha habari kwanza kabla hujapost achana na mambo ya tetesi unatupandisha presha bure.

    ReplyDelete