HOJA YANGU: TASWA tunaomba vigezo vya kumpa Shomari Kapombe tuzo ya uanamichezo bora wa mwaka 2011/12. Hapa hoja yangu ni kwamba, Kapombe anacheza soka, na katika soka mshindi wa tuzo ni Aggrey Morris. Ina maana Aggrey ndiye mchezaji wa soka bora kuliko wote kwa msimu uliopita. Yes, Kapombe kapata tuzo ya chipukizi bora, kwa maana kuwa kawazidi chipukizi wenzake, lakini kwa soka kwa ujumla amezidi...wa na Aggrey Morris. Sasa hapa ndipo ninaposhindwa kuelewa kirahisi vigezo vilivyotumika. Inakuwaje mtu apewe tuzo ya uanamichezo bora wakati kwenye mchezo anaoucheza wapo watu walio bora kuliko yeye? Ndio kawazidi ubora chipukizi wenzie, lakini kwa soka kwa ujumla aliye bora kuliko wote tuzo kapewa Aggrey Morris. Suala jingine ni je, tuzo za TASWA kwa mwanamichezo bora wa mwaka zinaangalia Watanzania tu? Kwa sababu wengi mtakubaliana nami kuwa hata kwa klabu yake ya simba Kapombe amezidiwa ubora na Emmanuel Okwi kwa vigezo vya kuonesha uwezo mkubwa kuisaidia timu yake ya Taifa kutwaa kombe la Challenge, mchango mkubwa kuisaidia simba kutwaa ligi kuu, na mchango mkubwa kuisaidia simba kung'ara kombe la shirikisho CAF. TASWA naomba vigezo tafadhali.
TASWA NI KAMA KAMATI YA HARUSI AKUNA JIPYA KAMA UNABISHA NIONYESHENI OFISI YAKE ALAFU WAACHE WAFANYE VILE WANAVYOTAKA BAADHI YA WAJUMBE NA VIONGOZI HAWANA VISION YA TASWA ILA WANAVISIONI ZAO BINAFSI KAZI IPO KWENYE MICHEZO YA BONGO.
hapa mm nilipata shaka sijaiona hundi ya mchezaji bora ambaye ni morris ila ya mchezaji chipukizi ambaye ni kapombe nimeiona 12 mil wasi wasi wangu ni kweli inawezekana mchezaji chipukizi akapata tuzo zaidi ya mchezaji bora?
nijuavo mm mwanamichezo bora c sawa na mchezaji bora mwanamchezo bora pia inaangaliwa na publicity ya mchezaji jinsi anavosocialize na je jamii inamchukuliaje anaiongezea nn jamii kivovote vle mkatae mkubali tanzania nzma shomari kapombe ndo anawa motivate vijana kuingia kwenye michezo kwa kujua wakiaminiwa ka ma yeye wanaweza n hayo 2 taswa hawakukosea mnapomuongelea okwi n kwamba tatzo la watanzania hawaangalii anayezuia wanaangalia anayefunga 2 kapombe kwangu ndo beki bora simba sc mdau kassim
Kweli pana utata kidogo hapo, ila huyo mdau anayesema Aggrey moris ndiye alipaswa kuwa mshindi wa jumla mimi siafikiani nae hata kidogo.Kwanini unamtaja Morris wakati tuzo hiyo ilikuwa inawaniwa na wanamichezo wote na haikuwa tuzo inayowaniwa na wacheza soka tu kama wewe unavyoiona, hata mkimbiza upepo angeweza shinda si lazima Morris kama unavyotaka wewe.
Ila naungana mkono na hoja yako inayouliza je ni lazima awe mtanzaniaaaa??????Tuzo ya kapombe ya mwanamichezo chipukizi ni haki yake kabisa na tuzo ya mwanamichezo bora wa ujumla kama moja ya kigezo kilikuwa ni utaifa basi amestahili pia ILA kama utaifa haukuwa kigezo basi wahusika watupe vigezo kwani wapo na uzuru hii kesi ipo mahala pake kabisa kwani moja ya wahusika katika jopo la uchaguzi alikuwa Alex Lwambano ambaye ni mshakaji wa karibu kabisa wa Shaffih Dauda natumai Shaffih ataridhia ombi langu la kumuuliza Lwambano ni vigezo gani vinatumika na hasa suala la utaifa kama lipo ama lah. MDAU MIKE:
Mtoa hoja aidha hajui hata kupiga danadana moja au ana uyanga ndani yake. Kapombe ni kiraka sio Simba tu hata Taifa, yaani anaweza cheza namba zote kuanzia beki2, beki 5&4 na kiungo mkabaji, hebu semeni ni mchezaji gani mwingine mwenye uwezo huo sio hata huyo Agrey Moses yy sio kiraka km Kapombe, so licha ya kuwa mchezaji chipukizi bora pia ana fit kuwa mwanamichezo bora wa mwaka, acha Agrey awe mchezaji bora tena ile ilikuwa ya Kaseja ambaye kacheza mechi zote za Simba na pia za Taifa Starz na Simba imepata ubingwa na pia kufikia hatua nzuri kwenye mashindano ya shirikisho afrika.
tatizo si kiraka wala kikaratasi hapa. ile tuzo si ya 2012 tu. bali mpaka 2011 pia. kapombe amevuma mwaka huu katika msimu wa wa pili wa ligi . hili hamkuliona nyinyi Mpengo? mnaoleta unazi hapa. kapombe amevuma kuanzia february mwaka huu hata kaburu anakubali hilo. haya tumesha yazoea kwenye kili award na leo taswa. tujifunze kwa wenzetu wa ulaya vigezo wanavyovitumia kutoa tuzo tusilete unazi wetu na UMAPENGO HAPA........
Kumekucha! Tanzania kila mtu anajua kila kitu, kila sehemu lazima mseme, hoja ya kuchaguliwa mwanamichezo bora na ofisi vinaingiliana vipi? Mara vision mara hivi, yaani ni kweli kitu kinaweza kuwa na makosa lakini inaonekana hamuoni uboreshaji wa tuzo hizi kwa upande wa maslahi ya wanamichezo wetu pia kufanya sherehe katika ukumbi wa chumba kimoja hadi Serena (Movenpick) na sasa Diamond Jubilee. Tazameni wakati na tukio halisi, mambo ya tuzo hayawezi kumridhisha mtu mara zote. Unaweza kutafuta uongozi kwa kukosoa na kutoa njia sahihi siyo kutukana watu.
hapa mm nilipata shaka sijaiona hundi ya mchezaji bora ambaye ni morris ila ya mchezaji chipukizi ambaye ni kapombe nimeiona 12 mil wasi wasi wangu ni kweli inawezekana mchezaji chipukizi akapata tuzo zaidi ya mchezaji bora?
ReplyDeletenijuavo mm mwanamichezo bora c sawa na mchezaji bora mwanamchezo bora pia inaangaliwa na publicity ya mchezaji jinsi anavosocialize na je jamii inamchukuliaje anaiongezea nn jamii kivovote vle mkatae mkubali tanzania nzma shomari kapombe ndo anawa motivate vijana kuingia kwenye michezo kwa kujua wakiaminiwa ka ma yeye wanaweza n hayo 2 taswa hawakukosea mnapomuongelea okwi n kwamba tatzo la watanzania hawaangalii anayezuia wanaangalia anayefunga 2 kapombe kwangu ndo beki bora simba sc
ReplyDeletemdau kassim
Hakika hiyo ni error,
ReplyDeleteUnajua mimi huwa najiulizaga Taswa nzima hakuna mtu aliyeliona hilo tatizo?
Soka la Tz utata mtupu wallah
Kweli pana utata kidogo hapo, ila huyo mdau anayesema Aggrey moris ndiye alipaswa kuwa mshindi wa jumla mimi siafikiani nae hata kidogo.Kwanini unamtaja Morris wakati tuzo hiyo ilikuwa inawaniwa na wanamichezo wote na haikuwa tuzo inayowaniwa na wacheza soka tu kama wewe unavyoiona, hata mkimbiza upepo angeweza shinda si lazima Morris kama unavyotaka wewe.
ReplyDeleteIla naungana mkono na hoja yako inayouliza je ni lazima awe mtanzaniaaaa??????Tuzo ya kapombe ya mwanamichezo chipukizi ni haki yake kabisa na tuzo ya mwanamichezo bora wa ujumla kama moja ya kigezo kilikuwa ni utaifa basi amestahili pia ILA kama utaifa haukuwa kigezo basi wahusika watupe vigezo kwani wapo na uzuru hii kesi ipo mahala pake kabisa kwani moja ya wahusika katika jopo la uchaguzi alikuwa Alex Lwambano ambaye ni mshakaji wa karibu kabisa wa Shaffih Dauda natumai Shaffih ataridhia ombi langu la kumuuliza Lwambano ni vigezo gani vinatumika na hasa suala la utaifa kama lipo ama lah.
MDAU
MIKE:
achane uyanga wenu nyie dogo yuko fiti na anastahili kila mahala mnatafuta sababu
ReplyDeleteMtoa hoja aidha hajui hata kupiga danadana moja au ana uyanga ndani yake. Kapombe ni kiraka sio Simba tu hata Taifa, yaani anaweza cheza namba zote kuanzia beki2, beki 5&4 na kiungo mkabaji, hebu semeni ni mchezaji gani mwingine mwenye uwezo huo sio hata huyo Agrey Moses yy sio kiraka km Kapombe, so licha ya kuwa mchezaji chipukizi bora pia ana fit kuwa mwanamichezo bora wa mwaka, acha Agrey awe mchezaji bora tena ile ilikuwa ya Kaseja ambaye kacheza mechi zote za Simba na pia za Taifa Starz na Simba imepata ubingwa na pia kufikia hatua nzuri kwenye mashindano ya shirikisho afrika.
ReplyDeletetatizo si kiraka wala kikaratasi hapa. ile tuzo si ya 2012 tu. bali mpaka 2011 pia. kapombe amevuma mwaka huu katika msimu wa wa pili wa ligi . hili hamkuliona nyinyi Mpengo? mnaoleta unazi hapa. kapombe amevuma kuanzia february mwaka huu hata kaburu anakubali hilo. haya tumesha yazoea kwenye kili award na leo taswa. tujifunze kwa wenzetu wa ulaya vigezo wanavyovitumia kutoa tuzo tusilete unazi wetu na UMAPENGO HAPA........
ReplyDeleteKumekucha! Tanzania kila mtu anajua kila kitu, kila sehemu lazima mseme, hoja ya kuchaguliwa mwanamichezo bora na ofisi vinaingiliana vipi? Mara vision mara hivi, yaani ni kweli kitu kinaweza kuwa na makosa lakini inaonekana hamuoni uboreshaji wa tuzo hizi kwa upande wa maslahi ya wanamichezo wetu pia kufanya sherehe katika ukumbi wa chumba kimoja hadi Serena (Movenpick) na sasa Diamond Jubilee. Tazameni wakati na tukio halisi, mambo ya tuzo hayawezi kumridhisha mtu mara zote. Unaweza kutafuta uongozi kwa kukosoa na kutoa njia sahihi siyo kutukana watu.
ReplyDelete