Search This Blog

Sunday, June 17, 2012

MSUMBIJI YAIFUNGA TAIFA STARS KWA MIKWAJU YA PENALTI.

Timu ya taifa ya Msumbiji imefanikiwa kuitoa timu ya taifa ya Tanzania kwa mikwaju ya penalti kwenye kinyang'anyiro cha kusaka tiketi ya kufuzu AFCON 2012.
Mchezo huo ulimalizika kwa timu hizo kufungana bao 1:1.

Habari kamili itafuata....................

3 comments:

  1. Wamejitahidi kupigana wawezavyo, hatukudhani kama hata hiyo 1-1 ingepatikana hapo kabla. Vijana waendelee kujituma, tuko pamoja!

    ReplyDelete
  2. Ila mi sikatai wamejitahidi ila mbona si kila cku tujipe moyo! tutakuwa nayo mingapi? kila cku vibaya clouds mnasema kweli kila cku lkn kwann hawa viongozi hawasikii? haya jana na leo kila cku maumivu tuwape mda kila cku mpaka lini? inachosha mi nimeanza kufuatilia mpira mwaka tisini lkn mpaka leo hakuna chochote tujipe moyo tujipe moyo inakela daily tuamken watanzani kuna kitu kinaendelea hapa watu wamefanya miradi bana inauzi sana

    ReplyDelete
  3. Kaka inaboa daily tujipe moyo tutakuwa nayo mingapi? ka jana na leo

    ReplyDelete