Marehemu Amina Chifupa
| Amina Chifupa akiteta jambo na Mwanasiasa Mkongwe nchini, Alnoor Kassum katika moja ya shughuli za kitaifa enzi za uhai wake. Hapa ilikuwa katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere Foundation jijini Dar. |
| Siku Amina Chifupa alipokula kiapo bungeni mjini Dodoma. |
| Amina (wa pili kushoto), akiwa na wabunge wenzake siku walipotembelea katika Nyumba ya Vipaji ya THT, wakati ikiwa pale Kinondoni katikati ya Biafra na Moroco. |
| Amina alikuwa mpenzi wa muziki pia hapa ilikuwa wakati huo ikiitwa Sheraton Hotel kwa sasa ni Serena, Bendi ya Twanga walikuwa wakitumbuiza katika hafla moja. |
| Amina alipiga vita matumizi ya dawa za kulevya na hapa alikuwa mgeni rasmi katika semina iliyotolewa kwa wanafunzi kuhusu madhara ya dawa hizo. |
PHOTO CREDITS:http://bongostaz.blogspot.com/

No comments:
Post a Comment