| Umati wa mashabiki wa Msumbiji wakiwa uwanjani kuisapoti timu yao |
| Haruna Moshi Boban , Mrisho Ngassa, Nurdin Bakary na wachezaji wengine wa Tanzania wakiwa kwenye benchi. |
| Shoamri Kapombe akipambana dimbani kumtoka beki wa Msumbiji |
| Frank Domayo na Shomari Kapombe wakipata maelekezo kutoka kwa kocha Kim Poulsen |
| Baadhi ya mashabiki wa kitanzania wakiisapoti timu kwenye mchezo wa jana |
| Mrisho Khalfan Ngassa akiwapeleka puta mabeki wa Msumbiji |
| Mbwana Samatta akijaribu kumtoka beki wa Msumbiji |

No comments:
Post a Comment