Usiku wa kuamkia leo, ilifanyika sherehe ya kumpongeza mwanamuziki gwiji wa Bongo Fleva Lady Jay Dee kwa kutimiza miaka 33 tangu aingie kwenye ulimwengu huu, na mie nilikuwa mmoja ya watu tuliodhuria. |
Maggie akiwa ameikamatia keki kuipeleka mbele.
Lady Jay Dee akipokea keki yake huku Barnaba akimuimbia kwa furaha.
Ukumbusho.
Kila mmoja alikuwa akitaka kupiga picha ya ukumbusho.
...akikata keki yake kwa taratibu kabisa...
Wa kwanza kulishwa keki alikuwa ni Barnaba Boy...
Shabiki wa machozi bendi akiwakilisha...
... raha kweli
Khadija Mwanamboka hakuwa nyuma kuwalisha...
No comments:
Post a Comment